H.E Mwanaidi sinare Majaar The Tanzania High commissioner in the uk shares a Light moment with the President of Tanzania H.E Jakaya Kikwete
The TanzaniA High Commission is located at 3 Stratford Place- opposite Bond street station
Tanzania National Anthem
Mungu ibariki AfricaWabariki viongozi wakeHekima, umoja, na amaniHizi ni ngao zetuAfrika na watu wake
Ibariki AfrikaIbariki AfrikaTubariki watoto wa Afrika
Mungu ibariki TanzaniaDumisha uhuru na umojaWake kwa waume ma watotoMungu ibarikiTanzania na watu wake
Ibariki TanzaniaIbariki TanzaniaTubariki watoto wa Tanzania
God bless AfricaBless its leadersLet wisdom, unity and peace be the shield ofAfrica, and its people.Bless AfricaBless AfricaBless the children of AfricaGod bless TanzaniaGrant eternal freedom and unityto its sons and daughtersGod blessTanzania and its peopleBless Tanzania Bless Tanzania Bless the children of Tanzania
No comments:
Post a Comment